Wednesday, July 16, 2014

WAZIRI LAZARO NYALANDU ASHIRKI HALFA YA UTUNZAJI HIFADHI ZA MISITU KAMA VYANZO MUHIMU VYA MAJI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo
 
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland  akizungumza katika halfa hiyo. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (MB) akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani

No comments: