Thursday, March 1, 2018

MASUPASTAA WA MAREKANI WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

WANAJESHI mashuhuri na wachezaji wa ligi ya Taifa, (NFL), 28 toka nchini Marekani wamepanda mlima Kilimanjaro Kwa lengo la kukusanya fedha za kusaidia upatikanaji wa maji safi kwa jamii.

Walipanda mlima huo kupitia njia ya Rongai Februari 20, mwaka huu ambapo walishuka Februari 25, mwaka huu wakiwa wametumia siku tano.





No comments: