Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA imetoa utaratibu wa kutembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani. Hii ni katika ile of a Maalum ya watanzania kutembelea hifadhi za Taifa bila ada ya kiingilio na kuvinjari kwa kipindi cha siku mbili tarehe 02 -04 June.
Taarifa ya TANAPA imeelekeza kuwa wananchi waifikie Saadani kupitia njia ya Msata,Mandera. Kwani kufuatia mvua zinazonyesha barabara ya Makurunge , Bagamoyo Haipitiki.
Vilevile Taarifa ya TANAPA imeeleza kuwa wananchi Wa Tanga wanaohitaji kufika Saadani wapite njia ya Pangani , Mkwaja hadi Saadani.
Endelea kubaki nami ikiwa ni pamoja na kwenye Mitandao ya kijamii Facebook ,Twitter, Instagram, kote kwa jina la Habari Tanzania Grace Macha bila kusahau kutazama Latest Videos zote katika V.O.A TV YouTube.
No comments:
Post a Comment