Thursday, October 12, 2017

HABARI: Mlima Kilimanjaro Kivutio Bora 2017 barani Afrika

Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Kinachoongoza kwa Utalii barani Afrika 2017, kwenye 'World Travel Awards'. Je, mwaka huu una plan ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro? na kama ulishawahi kupanda sema ilikuwa mwaka gani?

No comments: