Tuesday, August 22, 2017

Waziri Maghembe alivyofanya makabidhiano ya Miradi ya nuhimu hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Mkurugenzi Mkuu TANAPA Allan Kijazi akiwa na Mkuu wa Hifadhi ya Serengeti William Mwakilema katika uwanja wa ndege wa Seronera walipofika kumpokea Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia benki ya KfW hapo Jana.





 Mkuu wa Hifadhi ya Serengeti William Mwakilema akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt.Detlef Waechter alipowasili katika Hifadhi ya Serengeti kukabidhi miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia benki ya KfW hapo Jana .


No comments: