WATU nane wanashikiliwa na Hifadhi za Taifa nchini, (TANAPA) kwa kushirikisha na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya ujangili Kwa kuua faru kwenye Hifadhi ya Serengeti.
Meneja Mawasiliano wa TANAPA, Pascal Shelutete, ameeleza kuwa wamefanikiwa kukamata bunduki moja aina ya rifle 458 inayodhaniwa ilitumiwa na watuhumiwa hao katika kutekeleza Mauaji ya faru huyo yaliyotokea desemba mwaka jana.
No comments:
Post a Comment