Sunday, May 28, 2017

FULL VIDEO: Alichoongea Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Jummanne Maghembe , Solo la Utalii kuwekwa Tanzania

May 26 2017 , Mh. Jumanne Maghembe alizindua Maonesho rasmi ya KARIBU Fair 2017, ambapo kati ya mengi aliyoyazungumza ni kutatua kero zinazoikabili sekta ya Utalii nchini pamoja na changamoto wanazopata wadau wa sekta ya Utalii. 
Nimekusogezea Video akiongea Mh.Maghembe kuhusu kuboresha sekta ya Utalii nchini. Usipitwe na chochote endelea kubaki nami ili upate updates zote popote ulipo. Kama inavyojua Kazi yangu ni kukusogezea updates zote Mara tu zinapotokea...


No comments: