Saturday, July 15, 2017

TANAPA yamtunuku Tuzo Dkt. Jane Goodall


 Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania leo tarehe 14.7.2017 limetoa tuzo maalum kwa Dk. Jane Goodall kutoka na mchango wake mkubwa katika eneo la utafiti wa sokwe hususan katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe.

Tuzo hiyo inayofahamika kama Sokwe Conservation Award imekabidhiwa kwake na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe aliyekuwa mgeni rasmi katika tukio hilo.











No comments: