Ni taarifa ya Mamlaka ya uhifadhi na utunzaji wa kreta ya Ngorongoro NCAA , ambayo inabeba dhana ya kuomba radhi kwa umma kufuatia mmoja wa wa wafanyakazi wa shirika hilo lenye mamlaka ya kusimamia na kutunza hifadhi ya Ngorongoro kutumia lugha hovyo katika kuwaongoza watalii wa Kampuni ya Kibo Guides Tours.
NCAA imesema itachukua hatua za kinidhamu dhidi ya mfanyakazi huyo kwa haraka zaidi.
No comments:
Post a Comment