Saturday, June 24, 2017

Shirika la ndege la Precision linaendelea na safari zake za kufikisha watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti hususan kipindi hiki cha kuanza kwa msimu mpya wa utalii.

No comments: