MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha kujaa kwa mto Boundary kwenye Hifadhi ya Taifa ya Tarangire hivyo barabara hiyo kushindwa kupitika.
Meneja Mnawasilisha wa Shirika la Hifadhi za Taifa, (TANAPA) Paschal Shelutete leo amewaelekeza watalii kutumia lango la Kuro kwani ndiyo linalopitika.
No comments:
Post a Comment